Jumatatu, 5 Januari 2015

MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI

unnamed2Baandhi ya wananchi na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni Mjini Zanzibar.unnamed3Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji akitoa nasaha fupi na kumkaribisha Balozi Seif Ali Iddi kutoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni Mjini Zanzibar.unnamed4Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akihutubia katika Sherehe ya uzinduzi wa Barabara ya Amani-Mtoni ikiwa ni miongoni wa shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.unnamed5Barabara ya Amani-Mtoni iliyozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu