Jumanne, 13 Januari 2015

RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

unnamed3Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana  na Rais Mstaafu Mzee Ali Hassani Mwinyi.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed4Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete  akizungumza na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa maadhimisho hayo mjini Zanzibar leo. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed5Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed6Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed1hRais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika kilele cha Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.}unnamed2hRais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama leo wakati wa  Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar akifuatana na Paredi Kamanda Luteni kanali Mohamed Khamis Adam katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.}unnamed4hWananchi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakimasikiliza Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika kilele hicho Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.}unnamed7hRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika leo katikauwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.}
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu