Jumatatu, 5 Januari 2015

RAIS WA ZANZIBAR DR. ALI MOHAMMED SHEIN AFUNGUA BARABARA YA UMBUJI

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji Viongozi wakati alipowasili leo katikauzinduzi wa Barabara ya Njia nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni katika  shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe  kufungua Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja leo iliyojengwa na Serikali kupitia kitengo cha Idara ya ujenzi Barabara UUB ikiwa ni katika  shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kulia)Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji na (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.]unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazia kama ishara ya   kufungua Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja leo iliyojengwa na Serikali Mapinduzi kupitia kitengo cha Idara ya ujenzi Barabara UUB ikiwa ni katika  shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar  (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.]unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakitembea katika Barabara ya Njia NNe -Umbuji Wilaya ya Kati Unguja mara baada ya kuifungua rasmi leo ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed5Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili,akitoa ripoti ya kitaalamu leo wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya  ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed6Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya  ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed7Msoma Risala Farida Rajab  akisoma risala hiyo mbele ya mgeni rasmiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni   katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya  ya Kati   Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika leo kijiji cha Umbuji ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu