Jumanne, 13 Januari 2015

RIDHIWANI AZINDUA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MAGEREZA YA BWAWANI

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua
rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani
katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na
Jeshi la Magereza.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO
BLOG
 Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika
Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo
 Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua

 Ridhiwani akikgua gwaride la wanafunzi wa shule hiyo lililoandaliwa maalumu kwa ajili yake
 Ridhiwani akilakiwa na maofisa wa Jeshi la Magereza
 Ridhiwani akiwa na maofisa wa jeshi hilo Kaimu Mkuu wa Magereza,
Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato
Luganunulauu
 Ridhiwani akihutubia wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Shule hiyo,Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunula
 
 Ridhiwani akiwa amekaa katika moja ya madawati yaliyomo katika moja ya vyumba vipya vya madarasa
 Ridhiwani akikagua jengo hilo jipya
Ridhiwani akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo hilo
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu