Jumanne, 27 Januari 2015

WAZIRI CHIZA AWASILI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Zubeda Ng'olongo kama ishara ya kumkaribisha ofisini hapo, leo Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
Waziri wa Nchi Mpya wa Ofisi Rais (Uhusiano na Uratibu) Mhe. Dkt. Mary Nagu ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) akimkabidhi baadhi ya nyaraka Waziri wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza , leo Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu