Jumatano, 21 Januari 2015

ZIARA YA MH.DR. BINILITH MAHENGE BANDARI YA TANGA

unnamed (2)5Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi Bw. Ben Lema, jinsi wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.unnamed (1)Sehemu ya Bandari ya Tanga ikionesha kisiwa cha Toten kilichopo Mkoni hapo ambacho kipo hatarini kuzama.unnamed (2)1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti  kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.

unnamed (2)3Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga.unnamed (2)4Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi akitoa maelezo kwa Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge,kuhusu umuhimu wa kisiwa hicho. 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu