Unordered List


ASENGA ABUBAKAR: VIJANA NI JEURI YA CHAMA

Asenga Abubakar ambae ni Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Taifa akiwakilisha mkoa wa Morogoro ashirikiana na wananchi wa kilombero ifakara kuondoa geti la halmashauri ambalo limekuwa kero kubwa kwa wananchi.

Geti hilo ambalo lipo kata ya ifakara limekuwa kero kubwa kuwatoza wananchi watokao mashambani ushuru wa mpunga

Mwaka juzi liliondolewa lakini katika mazingira ya kutatanisha limerudishwa.

Taarifa zilizopatikana nikuwa polisi walitangaza jana kupinga tukio hilo ijapo bado wananchi na vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) wanaonekana wakizunguka kuhamasisha kuchukua sheria ya kulingoa geti hilo.

Nini kitatokea.

Tutaendelea kukujuza.

Chapisha Maoni

0 Maoni