Unordered List


RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM

jky4 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam. jky2 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na
waomboilezaji wengine  katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget
Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi
Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.
jky3 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongo
kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji
Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko
Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

Chapisha Maoni

0 Maoni