Unordered List


RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI DKT TED N.C. WILSON IKULU

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo nakiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu Jumamosi February 7,
2015, Usiku jijini Dar es salaam.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Jumamosi February 7, 2015, usiku Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

Chapisha Maoni

0 Maoni