Ijumaa, 27 Machi 2015

MKUTANO MKUBWA WA HADHARA WAAHIRISHWA KUTOKANA NA MVUA MKUBWA KUNYESHA Wananchi wakisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa mkutano stendi bila kujali mvua iliyokuwa inanyesha.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dk. David Mathayo David(kushoto)  na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Idd Juma kabla ya kuamua kuahirisha mkutano kutokana na mvua kubwa
 Wananchi wakishangilia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana bila kujali mvua.
 Baadhi ya wananchi wakiwa wamejifunika na turubai
 Wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitangaza kuahirisha mkutano na kuahidi kurudi tena kuhutubia wananchi hao siku ingine.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwatangazia wananchi wa Same kuahirishwa kwa mkutano kutokana na mvua kubwa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaaga wananchi wa Same baada ya mvua kubwa kusababisha kushindwa kufanyika kwa mkutano wa hadhara.

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu