Alhamisi, 12 Machi 2015

ZIARA YA KINANA DODOMA WILAYA YA CHEMBA YAFANA SANA


Wednesday, March 11, 2015
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulraman Kinana akihutubia wakazi wa Itolwa wilayani Chemba mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara zake za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa akiwahutubia wakazi wa Itolwa ambapo aliwaambia kuwa katika chaguzi za mwaka huu hatokata jina la chaguo la watu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Itolwa wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ikiwa sehemu ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

 Wananchi wakifuatilia hotuba za wananchi.
 Mbunge wa Jimbo la Kondoa Kusini Juma Nkamia akiwahutubia wakazi wa Itolwa waliofurika kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipitia taarifa zinazohusu maji na umeme katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akiwasalimu wananchi wa Itolwa
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amepata mapokezi makubwa katika kijiji cha Chandama kata ya Mapango akiwa amaeongozana na Mbunge wa Jimbo la Kondoa kusini Ndugu Juma Nkamia.
 Wananchi wa kijiji cha Chandama wakifurahia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrhaman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Songolo
 Wananchi wa kijiji cha Songolo wakimuimbia Katibu Mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana nyimbo za kumkaribisha katika wilaya ya Chemba.
 Wananchi wa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara ya kukagua ,kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ambapo katika kata ya Paranga alikagua maendeleo ya ujezi ya wodi ya mama na mtoto pamoja na kushiriki kupanda miti.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu katika wodi ya Mama na Mtoto katika zahanati ya Kalema ,kata ya Paranga, wilaya ya Chemba  mkoani Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Chemba.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu wilaya ya Chemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Babayu mara baada ya kushiriki ujenzi wa ofisi ya mtendaji.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu