Unordered List


UVCCM WALALA NA WAHANGA WAMAFURIKO WAKIITAKA SERIKALI ITIMIZE AHADI YAKE YA KUWAPA MAKAZI HARAKA







Ndg Husna Sekiboko Mwenyekiti wa kamati ya maafa jana amewahani waathirika wa maafa ya mafuriko Kahama kwa niaba ya BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA  kwa kushirikiana na katibu msaidizi mkuu Ndg Mpokwa, katibu wa mkoa wa Shinyanga Dada Teddy, Mjumbe wa baraza kuu Taifa anaepitia mkoa wa Shinyanga ndugu Zuber Bundara na mbaraza wa Kigoma Ndg Waziri Moris. wamekabidhi misaada mbalimbali ikiwemo unga, Maharage, chumvi na sabuni.

Wahanga wameishukuru sana UVCCM  na wameomba jamii iguswe na jambo hili kama UVCCM  ilivyokuswa kwa sababu bado misaada inahitajika sana kwa wahanga.

Bi Husna amewashukuru viongozi wote kwa ushirikiano hususani wote waliochangia.

Kidumu chama cha mapinduzi.
Uvccm mbele daima.

Chapisha Maoni

0 Maoni