Jumanne, 5 Mei 2015

WAZIRI MKUU PINDA ZIARANI ZANZIBAR,AKABIDHI MADAWATI KIEMBE SAMAKI


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ameketi katika moja ya madawati yakisasa aliyo yapokea kutoka kiwanda cha Jambo Plastics Ltd ya Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuisaidia Skuli ya Kiembe samaki Zanzibar anaye shuhudia katikati waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omari Yusufu Mzee. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Plastics Limited Rupa Suchak katika sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar ambako Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar kikazi
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi mtendeji wa Jambo Plastics Ltd Rupa Suchak kwa kwa kuiunga serikali mkono kwa kutoa msaada wa madawati ya kisasa yaliyotengenezwa kwa Plastiki ili kupunguza tatizo la madawati katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar. Katikati wanaoshuhudia kushoto Waziri wa Elimu Zanzibar Alli Juma Shamuhuna na kulia ni Waziri wa Fedha Zanzibar Omari Yusufu Mzee Suchak sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Kiembesamaki wakimfurahia Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye alifika shuleni hapo kuwakabidhi madawati. Picha zote na Chris Mfinanga.(Muro)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu