• UVCCM TAIFA

  SAUTI YA VIJANA,SAUTI YA UMMA.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.

 • UVCCM TAIFA

  MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

 • This is default featured slide 3 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 4 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 5 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Jumanne, 30 Juni 2015

KIKWETE AFUTURU NA WATOTO YATIMA IKULU DAR

Raisi JK akisalimiana na baadhi ya watoto yatima kutoka vituo mbali mbali katika jiji la Dar Es Salaam katika futari ya iliyoandaliwa Ikulu 
Raisi Kikwete akizungumza na vijana ndani ya viwanja vya Ikulu Dar es salaam
Watoto wanao lelewa katika vituo vya mayatima jijini Dar es salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu,iliyoandaliwa na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. JK

na Adnan

Share:

Jumamosi, 27 Juni 2015

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA

WAZIRI MKUU MH: MZENGO PINDA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA AZAWADIWA KIFIMBO

Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh: Pinda akiwasha mshumaa kwenye kaburi  la hayati Baba wa Taifa huko butiama
Waziri mkuu Mh: Pinda akisalimiana na mtoto wa mwalimu wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere alipotembelea Butihama
Waziri mkuu Mh: Pinda akizungumza na mama Maria Nyerere butiama
Waziri mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mh: Pinda akishika kifimbo baada ya kupewa kama zawadi na familia ya baba wa Taifa

na Adnan

Share:

Alhamisi, 25 Juni 2015

MEMBE APATA UDHAMINI WA KUTOSHA PWANI

MEMBE AUTEKA MKOA WA PWANI KWA KUPATA WAZAMINI ZAIDI YA ELFU ISHIRINI

Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Membe akisalimiana na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Pwani waliojitokeza kwa wingi kuja kumdhamini katika kuwania uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Waziri wa mambo ya nje na ushirikino wa kimataifa Mh.Benard Membe akipokea fomu za udhamini wa kuwania uraisi toka kwa mmoja ya wanachama wa chama cha Mapinduzi mkoani Pwani.
Waziri wa  Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernad Membe akiwahutubia wakazi wa Mkoa wa Pwani kwa kujitokeza kwa wingi kumdhamini katika kuwania uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NA ADINANI JUMA
Share:

ZIARA YA KATIBU MKUU NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA


Katibu mkkuu CCM Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Ngudu, Ndugu Kinana aliwataka vijana wa kitanzania kuacha kabisa kuhadaika na Baadhi ya wanasiasa ambao wamekuwa wakiwapotosha na kuamini kila kitu kitapatikana bila ya kufanya kazi na kujituma.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA katika kijiji cha Ikula kata ya Ikula wilayani Kwimba ndugu Amara Materemki akizungumza baada ya kuamua kukihama chama hicho na kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo.
Katibu mkuu wa CCM akionyesha baadhi ya kadi za wafuasi wa chama cha chadema tayari kwa kuhamia CCM.


na: Adnan JumaShare:

Jumatatu, 15 Juni 2015

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA, NI KWA KUTEMBELA WILAYA YA BIHARAMULO


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana akikagua chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Nyakahura wilayni Biharamulo, mwishoni mwa ziara yake mkoani Kagera.
Wapili kushoto ni Katibu wa NEC, Itiadi na Uenezi Nape Nnauye.

Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera kwa mafanikio makubwa.

Katika ziara hiyo Kinana amemaliza  ziara hiyo leo Julai 14, 2015, baada ya kutembea jumla ya kilometa 3374, akiwa ametembelea majimbo yote tisa katika wilaya zote nane za mkoa huo.

Ziara hiyo imeonyesha kuwa na mafanikio makubwa kwa kuingiza CCM wanachama wapya  5678 kati ya wanachama 488 wakiwa wamehama kutoka vyama vya upinzani vikiwemo Chadema, CUF na NCCR Mageuzi.

Katika ziara ya mkoa wa Kagera, ambako amesafiri kwa gari nchi kavu na mitumbwi kwenda katika visiwa vitano, amefanya mikutano 74 kati yake ikiwemo mikutano 63 ya hadhara na kuzindua miradi 46, 41 ikiwa ni yamaendeleo ya wananchi.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa maji wa Nyakahura wilayani Biharamulo,  mwishoni mwa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, mkoani Kagera leo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Kagera John Mongera. Akikagua mradi huo wa maji Kinana ameonyesha kukerwa baada ya kubaini kwamba mradi huo umefanywa vibaya na kutosaidia wananchi kupata maji kama ilivyotarajiwa kutokana na sababu nyingi ikiwemo ramani ya mradi huo kuchorwa vibaya licha ya kutengewa sh. bilioni 1.4.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katikamkutano wa hadhara uliofanyika leo Juni katika Biharamulo mjini, mwishoni mwa ziara yake katika mkoa wa Kagera.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano huowa wa Kinana, Biharamulo mjini.
 Wananchi wa Biharamulo mjini wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa hadhara Biharamulo mjini.
 Vijana wakitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika Biharamulo mjini mwishoni mwa ziara yake mkoani Kagera.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya mapokezi yaliofanyika katika kijiji cha Nyabugombea, wakataai akiingia katka wilaya ya Biharamulo mwishoni mwa ziara yake mkoani Kagera.
 Mamia ya wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyakahura wilayani Biharamulo mwishoni mwa ziara yake mkoani Kagera.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara aliofanya katikakijiji cha Nyabungombea wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi waliomsimamisha njiani wakati msafara wake ukitona Nyabungombe kwenda Biharamulo mjini mkoani Kagera.
 Meneja wa mradi wa Umeme wilayani Biharamulo, Ernest Milyango akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipokagua mradi huo mwishoni mwa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na Uhai wa Chama mkoani Kagera.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimhoji jambo meneja wa mradi wa umeme wilayani Biharamulo mkoani Kagera, Ernest Milyango alipokagua mradi wa umeme wa wilaya hiyo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Meneja wa Mradi wa umemewa Biharamulo Elnest Milyango baada ya kukagua mradi huo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitzama chumba cha kupumzikia kina mama waliojifungua, alipotembelea ujenzi wawodi ya wazazi ya katika kituo cha afya cha Rukaragata, wilayani Biharamulo mkoani Kagera, leo Juni 14, 2015, akia katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupachipa dirisha kwenye shule ya msingi ya Kiislamya Al Rahman katika wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua shule ya msingi ya Kiislam ya Al Rahman mjini Biharamulo mkoani Kagera. Kulia ni Mkurugenzi wa shule hiyo, Sheikh  Masoud Saadan
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuomba dua baada ya kuzindua shuke ya msingi ya Kiislam ya Ar Rahman wilayani Biharamulo mwishoni mwa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCMna uhai wa Chama mkoani Kagera. 
 
 na Sufyan Omar
Share:

KINANA AINGIA WILAYA YA NGARA, AKAGUA MIRADI YAMAENDELEO NA KUTOA CHANJO KWA WATOTO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa matone ya chanjo mtoto Benita Cosmas, wakati alipozindua utoaji matone ya chanjo kwa watoto chini ya miezi sita, katika Kituo cha Afya cha Kashinga, kata ya Nyakisasa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Mama wa mtoto huyo ni Editha Rubambura.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa kidonge cha chanjo mtotoFrank Laurent, wakati alipozindua utoaji vidonge vya chanjo kwa watoto chini ya mmwaka mmoja, katika Kituo cha Afya cha Kashinga, kata ya Nyakisasa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Mama wa mtoto huyo ni Janeth Leopard.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu, katika Kituo cha Afya cha Kashinga, kata ya Nyakisasa, alipokagua ujenzi wa kituo hicho cha afya akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera.
Mkuu wa mkoa wa Kagera, John Mongela akizungumza na waananchi,  baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  alipokagua ujenzi wa kituo cha afya cha Kashinga, katika kata ya Nyakisasa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CM na uhai wa Chama katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya leo Ngara mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama, katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aliofanyika leo mjini Ngara mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipatiwa maelezo kuhusu mradi wa maji katika mji wa Ngara akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akijadili jambo na Mkuu wa mkoa wa Kagera, alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi wa Umeme Vijijini (REA) katika mji wa Ngara mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua chama cha Maendeleo ya Kina mama katika wilaya ya Ngara, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Ngara mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikata keki kuzindua akizindua Chama cha Maendeleo ya Kina mama wa Wilayani Ngara mkoani Kagera kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Ngara.
Wananchi wakishangilia CCM wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aliofanyika leo baada ya mapokezi ya kuingia wilaya ya Ngara akitokea Kyerwa, uliofanyika katika mji mdogo wa Benacc wilayani Ngara
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji mdogo wa Benacco baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwasili katika wilaya ya Ngara ukitokea Kyerwa kuendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutanao wa hadhara katika mji mdogo wa Benacco, baada ya kuwasii wilayani Ngara, leo kuendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Kagera.
Mmmoja wa wakazi wa mji mdogo wa Benacco, kuwa aliwahi kuwa kada wa Chadema akajitoa kutokana na chama hicho kuendekeza amaandamano, akieleza kero walizo nazo wananchi wa mji huo, katika mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika katika mji huo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara aliofanya katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kumpatia bati fundi aliyekuwa akipaua, wakati alipotembelea jenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Mujebwe, wilayani Ngara mkoani kagera.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwisha ndoo ya maji Francisca Katana, baada ya kuzindua mradi wa maji wa Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Kinana uliofayika katika kijiji cha Rulenge, wilayani Ngara mkoani Kagera.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Kinana uliofayika katika kijiji cha Rulenge, wilayani Ngara mkoani Kagera.
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera
Mmoja wa wazee wa Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera akiomuonyesha vielelezo kuhusu kero za mashamba zinazowakabili wananchi wa kijiji hicho,
Burudai zikiendelea baada ya mkutano mkubwa wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofanyika leo katika kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera.
na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM