Unordered List


KATIBU MKUU UVCCM; SIXTUS MAPUNDA ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA UBUNGE

Leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) amechukua fomu za kuwania nafasi ya kuteuliwa na chama Cha Mapinduzi (CCM), kupewa nafasi ya kugombea ubunge wa jimbo la Mbinga Mjini.


Mbinga Mpya; Maendeleo ni Sasa.‪#‎UmojaniUshindi‬

Chapisha Maoni

0 Maoni