Jumamosi, 11 Julai 2015

KIKAO CHA KAMATI KUU DODOMA CHA MALIZIKA SALAMA

Mwenyekiti wa CCM na raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwasili katika ukumbi tayari kwa kuanza kikao cha kamati kuu kilichofanyika Dodoma
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Jakaya Kikwete wa pili kushoto tayari kwa kuongoza kikao maalumu cha kamati hiyo mjini Dodoma. Kikao ambacho kinadaiwa kuchuja majina matano ya wagombea uraisi ndani ya CCM.
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Abdulrahmaan Kinana (aliyesimama) akichukua fursa ya kumkaribisha ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tayari kwa kufungua kikao hicho kilichofanyika Dodoma.
Mweneyekiti wa CCM na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk: Jakaya Kikwete wa pili kushoto akifungua kikao rasmi cha kamati kuu mjini Dodoma
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya CCM wakifuatilia kwa makini kikao hicho katika ukumbi maalumu Dodoma
Wajumbe wa kamati kuu na maraisi wastaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali hassan Mwinyi (kushoto) na (Benjamin William) Mkapa kulia wakiteta jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati kuu mjini Dodoma

na Adnan
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu