Unordered List


RAISI KIKWETE AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGA KURA KATIKA MFUMO MPYA WA BVR KIJIJINI MSOGA, BAGAMOYO

Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanania DK: Jakaya Kikwete akijaza fomu katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Kijijini kwake msoga wilayani Bagamoyo
Raisi Jakaya Kikwete akiwa katika mkao tayari kwa zoezi la picha kwa ajili ya kitambulisho cha kupigia kura


Raisi Jakaya Kikwete akitia saini katika mfumo wa kisasa katika zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu la wapiga kura



posted: Adnan


Chapisha Maoni

0 Maoni