Jumamosi, 11 Julai 2015

URAISI: JK AONGOZA KIKAO CHA NEC KUCHAGUA TATU BORA

Mwenyekiti wa CCM dkt: JK akiwasalimia wajumbe baada ya kuwasili katika ukumbi wa ahite house Dodoma leo tayari kwa kuendesha kikao cha halmashauri kuu ya CCM

Baadhi ya wajumbe wa jumbe wakifuatilia kwa makini kiao cha halmashauri kuu ya CCM leo
YALIYOJIRI KABLA YA KIKAO


Aliyekuwa mgombea kuteuliwa uraisi CCM mh: Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika ukumbi wa white house tayari kwa kikao


wagombea waliopita katika tano bora ya ugombea kuteuliwa kuwania nafasi ya urais ndugu January makamba na John Magufuli wakizungumza uku wakisubiri hatma ya tatu bora


Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh: Bernard Membe akipita kwa baadhi ya wajumbe ili kuweza kubadilisha mawazo na wajumbe hao kabla ya kikao hicho


Asha Rose Migiro akizungumza na mh: Bernard Membe mbele ya mh: samweli sitta ambao wawili hao waliteuliwa kuweza kuingia katia tano bora kusubiri mchujo mwengine wa tatu bora


Aliekuwa akiwania kuteuliwa kuwania uraisi CCM ndugu Mwigulu Nchemba akikumbatiana na Nape Nnauye kabla ya kuanza kwa kikao hicho


Katibu wa NEC itikadi na uenezi ndugu Nape Nnauye akisalimiana na ndugu Edward Ngoyai Lowassa kabla ya kuanza kwa kikao hicho


Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh: Bernad Membe akimsalimia Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Edward Lowasa kabla ya kuanza kikao cha halmashauri kuu.


Mambo yalikuwa hivi


Waziri wa science na Teknolojia na mawasiliano mh: January Makamba akimsalimia Mh: Lowassa kabla ya kuanza kwa kikao hicho


Ulinzi nao haukuwa lele mama ndani ya ukumbi wa white house mpaka FFU kuchunga ulinzi
 na: Adnan
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu