Ijumaa, 10 Julai 2015

VIKAO KUFANYIKA LEO MKUTANO MKUU KESHO


 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaeleza waandishi wa habari kuwa vikao vyote vitafanyika leo kikiwemo cha Kamati ya Usalama na Maadili pamoja na vikao vya mchujo wa wagombea kuanzia watano(5) mpaka kupata watatu (3) ,mgombea wa Urais Zanzibar kisha kesho tarehe 11 Julai utafanyika mkutano mkuu wa CCM ambao atapatikana mgombea mmoja wa CCM kwa nafasi ya Urais.

Waandishi wa habari wakichukua taarifa za vikao vitakavyofanyika leo mjini Dodoma kutoka kwa msemaji wa Chama Cha Mapinduzi, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma. Na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu