• UVCCM TAIFA

  SAUTI YA VIJANA,SAUTI YA UMMA.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.

 • UVCCM TAIFA

  MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

 • This is default featured slide 3 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 4 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 5 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Ijumaa, 28 Agosti 2015

"TATIZO KUBWA LA MAGUFULI NI KUTENDA ANACHO AHIDI"


 • Awaambia tatizo kubwa utenda anachoahidi
 • Anachukia sana ufisadi
 • Asema Baraza lake la Mawaziri litafanya kazi usiku na mchana
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano uiofanyika kwenye stendi ya basi ambapo aliwaambia wananchi wa Mbalizi kumpa kura zote yeye na kuwapa kura wabunge na madiwani wa CCM ili aweze kufanya nao kazi kwa ufanisi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na polisi.


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaimbisha wananchi wa Mbalizi wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika  Mbalizi mkoani Mbeya.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Mbalizi mkoani Mbeya.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiomba kura kwa wakazi wa Mbalizi na kuwaahidi utumishi uliotukuka
 Umati wa wakazi wa Mbalizi ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli(kushoto) akiwa ameinua mikono juu kama ishara ya umoja ni ushindi pamoja na Mchungaji Lackson Mwanjali (katikati) na mgombea wa ubunge wa jimbo la Mbalizi Ndugu Oran Njeza, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika stendi ya Mbalizi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kumkabidhi mgombea wa ubunge kupitia CCM jimbo la Mbalizi Ndugu Oran Njeza
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwapa mkono wagombea udiwani wa kata zilizopo katika Jimbo la Mbalizi mkoani Mbeya.
 Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mbalizi mkoani Mbeya wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni uliokuwa uihutubiwa na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwenye mkutano wake wa kampeni za Urais kwenye viwanja vya stendi ya basi Mbalizi.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mhe. Godfrey Zambi akizungumza na Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. William Lukuvi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Mbalizi mkoani Mbeya.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwa wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano wake wa kampeni.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakisalimiana na wakazi wa kijiji cha iseche waliojitokeza kwa wingi barabarani kumsalimu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mkwajuni wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Songwe wilaya ya Chunya Ndugu Philipo Mulugo kwenye mkutano wa  kampeni Mkwajuni.
 Wananchi wa Mkwajuni wilayani Chunya, wakiwa na vipeperushi vinavyoonyesha kura ya ndio kwa Mbunge na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mhe. Godfrey Zambi akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Mkajuni wilayani Chunya.
 Mwananchi wa Mkwajuni akisoma maelezo yaliopo kwenye kipeperushi cha wagombea wa CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mara baada ya kumkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Songwe Ndugu. Philipo Mulugo
 Dk. Mary Mwanjelwa akionekana mwenye furaha  wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Mkwajuni ukiendelea.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambuisha kwa wananchi Mhe. Wiliam Lukuvi pamoja na Dk. Mary Mwanjelwa,kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro.
 Wananchi wa Makongorosi wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mwananchi akionyesha kadi yake ya Chama na kitambulisho cha kupigia kura kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Makongorosi.


 Wananchi wa Makongorosi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Wakazi wa Wilaya ya Chunya wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM alisisitiza kuwa anacho ahidi utekelezwa.
Share:

MAMA SAMIA SULUHU KATIKA UBORA WAKE KATIKA MAJIMBO YA MONDULI NA LONGIDO MKOANI ARUSHA


 Wananchi wakiwa wamejawa hamasa kwa nyimbo na nderemo wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassam, alipowasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni za CCM, katika jimbo la Monduli mkoani Arusha.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, akiwa na Kina mama wa Jamii ya Kimasai, baada ya kuwasii kwenye uwanja a mkutano wa hadhara, eneo Namanga, Longido mkoani Arusha.
 Mbunge wa Longido anayemaliza muda wake, Lekule Laizer akihutubia kabla ya mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, kwenye uwanja a mkutano wa hadhara, eneo Namanga, Longido mkoani Arusha.
  Mgombea jimbo la Longido kwa tiketi ya CCM, Dk. Steven Lumomo (kushoto), akisalimia wananchi baada ya kutambulishwa na Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza mda wake, Lekule Laizer, katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo hilo.
  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, akihutubia wananchi wa kwenye uwanja wa mkutano wa kampeni, eneo Namanga, Longido mkoani Arusha.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasikiliza kina mama waiokuwa wakichota maji katika eneo la mtaa wa madukani, Longido mkoani Arusha.
 Kijana akishangilia wakati mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha kuhutubia mkutano wa kampeni.
 Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi, akimtambulisha mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, aliyehamia Chadema, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Madukani, Longido mkoani Arusha.
 Mbunge anayemaliza mda wake, katika jimbo la Longido, Lekule Laizer, akimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo, Dk. Steven Lemomo katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha.
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la madukani, Longido mkoani Arusha
 Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha (kulia) akizungumza na Kina Mama wa Jamii ya Kimaai baada ya mkutano wa Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, uliofanyika eneo la madukani, Longido mkoani Arusha
 "MWAKA HUU MTAISOMA NAMBA" Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimwambia Mgombea Udiwani wa Chadema, Anna Oloiwa, aliyefika kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza huyo, uliofanyika eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha.
 
 Kina mama na mabinti wa jamii ya kimasai wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu uliofanyika jimbo la Monduli, mkoani Arusha.
 Wananchi wakijimwayamwaya kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu uliofanyika jimbo la Monduli, mkoani Arusha.
 
 Aliyekuwa ameomba kugombea Ubunge jimbo la Monduli lakini kura zake zikawa hazikutosha, Mchungaji Amani Silanga, akionyesha aina mbili tofauti za Kadi za Chadema, wakati wa mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan leo katika jimbo hilo mkoani Arusha. Amani amedai kuwa wakati Chadema kadi ya kwanza ya Chadema ilikuwa ya  rangi ya bluu na nyeusi tu, lakini miaka kadhaa baadaye ilibadilishwa na kuchanganywa na rangi nyekundu baada ya kulazimishwa na Chama cha Freemason cha uingereza ili chama hicho kupatiwa fedha.
 Wananchi wa jimbo la Monduli wakiinua mikono kula kiapo cha kumchagua mgombea Urais wa CCM, Dk. John Magufuli na mgombea Ubunge wa jimbo hilo Melock Sokoine, katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Hiyo ilikuwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan.
Sasa na mimi nitaitwa Samia Ole Suluhu" alisema mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akiwa katika vazi la Kimasai baada ya kuzawadiwa na Kina Mama wa kabila hilo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Monduli mkoani Arusha.
 Mgombea Ubunge jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Melok Sokoine akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan uliofanyika kwenye jimbo hilo.
 Wagombea wa Udiwani katika kata mbalimbali jimbo la Monduli wakiinua mikono kusalimia wananchi walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Arusha.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wake wa Kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Monduli mkoani Arusha.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wake wa Kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Monduli mkoani Arusha.
 
Na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu