Unordered List


JK AONGOZA KAMATI KUU DODOMA, YAAGIZA MAJIMBO MATANO YARUDIE KURA ZA MAONI UDIWANI NA UBUNGE

Mweneyekiti wa CCM na Raisi wa Jamhuri ya mMuungano wa Tanzania Dkt. Kikwete akiwasili katika ukumbi wa White House mjini Dodoma tayari kwa kuanza kwa kikao cha kamati kuu.
Mweneyekiti wa CCM Raisi Kikwete akifungua kikao cha kamati kuu kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma, kulia kwake ni makamo Mwenyekiti CCM Tanzania Visiwani Dkt. Ali Mohammed Shein , na wa kwanza kulia ni makamo mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Mangula, na wM ndugu Abdulrahmani Kinana
Kikao cha Kamati kuu kilipokuwa kikiendelea katika ukumbi wa White House mjini Dodoma

na: Adinan Juma






Chapisha Maoni

0 Maoni