Jumanne, 11 Agosti 2015

KIMBISA AMLAKI DK. JAKAYA KIKWETE MJINI DODOMA, ASEMA WANAOMCHULIA KUHAMA CCM WAMEULA WATAUMBUKA


 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa, baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma, ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, alipowasili Uwanja wa Ndege mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa.
Mwenyekiti wa CM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa alipowasili mjini Dodoma.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu