Jumatatu, 24 Agosti 2015

MAMA SAMIA HASSAN AANZA KAMPENI MKOANI KILIMANJARO, AUNGURUMA SAME


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
 Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo
 Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo
 Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu
  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu