Jumanne, 11 Agosti 2015

MTWARA WAMUHAKIKISHIA MAGUFULI USHINDI WA KISHINDO

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimia wanachama wa CCM mkoa wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsalimia kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na wana CCM wa mkoa wa Mtwara nje ya ofisi za CCM mkoa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wana CCM wa mkoa wa Mtwara nje ya Ofisi ya CCM mkoa na kuwataka wana CCM kuwa kitu kimoja na kuimarisha Chama.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara nje ya ofisi za CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani ambapo alifika kusalimia na kusaini vitabu vya wageni.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwigulu Nchemba.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana an Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe.
 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akizungumza wananchi waliojitokeza kwa wingi kumsalimu Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli aliyefika ofisini hapo kutoa shukrani kwa wadhamini 231 waliomdhamini kwenye nafasi ya Urais mkoa wa Mtwara ikiwa sehemu ya kutimiza taratibu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
 Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Mtwara na kuwaambia Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli atashinda mapema mno.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani akihutubia wakazi wa Mtwara  ambapo alihakikisha kuwa Mtwara itaongoza katika kumpigia kura nyingi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Husnain Murji akiwahutubia wana CCM nje ya ofisi ya CCM Mtwara na kuwaambia kuwa ushindi kwa CCM utakuwa wa kishindo.
 
Na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu