Jumamosi, 8 Agosti 2015

RAISI KIKWETE AFUNGUA BARABARA YENYE UREFU WA KM 60 TOKA NDUNDU HADI SOMANGA MKOANI LINDI

Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt: Jakaya Kikwete akiwasili katika kijiji cha Marendengo wilayani Kilwa mkoa wa Rufiji tayari kwa ufunguzi wa barabara hiyo inayotoka Ndundu hadi Somanga yenye urefu wa kilometa 60
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt: JK akiwasalimia wakazi wa kijiji cha  Marendengo wilayani Kilwa waliojitokeza katika sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo.
Raisi wa Jamhuri ya muungano waTanzania Dkt: JK akikata utepe kuashiria ufunguzi wa wabarabara hiyo yenye urefu wa kilometa 60 kutoka Ndundu hadi Somanga, pamoja na balozi wa Kuwait nchini ndugu Jassem Ibrahim Al Najem wa nne kushoto.wengine pichani ni Muwakilishi wa mfuko wa Kuwait ndugu Abrahmani Al Hashem, pamoja na waziri wa ujenzi ndugu John Pombe Magufuli wa tano toka kulia.
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt: JK akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Marenengo wilayani Kilwa mkoa wa Lindi katika sherehe za uzinduzi wa barabara ya Ndundu hadi somanga 
Waziri wa ujenzi na mgombea uraisi wa CCM Dkt: John Pombe Magufuli akizungumza na  wakazi wa Marendengo katika sherehe za uzinduzi wa barabara hiyo yenye urefu wa KM 60 kutoka Ndundu hadi Somanga.
Raisi  wa jamhuriya muungano wa Tanzania Dkt: Jakaya Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu kandokando mwa barabara hiyo baada ya ufunguzi wa barabara hiyo
Wazriri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ndugu Bernard Kamilius Membe akisalimiana na Waziri wa ujenzi ambaye ni mgombea mteule wa uraisi wa CCM
Jiwe la msingi la ufunguzi wa barabara yenye urefu wa kilometa 60 kutoka Ndundu hadi Somanga kwa kiwango bora cha Lami

na Adinan.

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu