Unordered List


RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JK AZINDUA KIVUKO CHA MV MAFANIKIO MTWARA

Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk.JK akisalimiana na Naibu waziri wa fedha mheshimiwa Mwigulu Nchemba wakati wa sherehe za uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio huko Mtwara

Waziri wa ujenzi na mgombea uraisi wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi pamoja na wakazi waliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa kivukocha MV Mafanikio

Raisi JK akizungumzana Waandishi wa habaripamoja na wananchi waliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio Mtwara

Raisi JK akibonyeza kitufe ishara ya kufungua kivukohicho kitakachofanya kazi za uvushaji kutoka Mtwara feli  kwenda Msanga Mkuu.

Raisi waJamhuri ya muungano wa Tanzania akizungumza na wakazi pamoja na viongozi waliopanda wote kivuko hichokelekea ng'ambo ya pili mara baada ya ufunguzi wa ufunguzi huo

Raisi JK akiwapumgia mkono wakazi wa Mtwara mara baada ya kuwasili upande wa pili kwa kutumia kivuko cha MV Mafanikio alichokizindua

na Adnan:

Chapisha Maoni

0 Maoni