Jumapili, 6 Septemba 2015

MAGUFULI AITIKISA KILOMBERO LEO MAELFU YA WAKAZI WA WILAYA HIYO WAMUHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa kiutendaji zaidi ili kufanikisha maendeleo ya haraka kwa nchi na wananchi kwa jumla.
Wananchi wa Ifakara wakimsikiliza Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Ifakara wilayani Kilombero.
 Wakazi wa Ifakara wakiwa wamefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Mhe. Abdallah Bulebo akihutubia wakazi wa Ifakara kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa taifa, Ifakara Kilombero.
Magufuli ndio habari ya Ifakara
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kilombero Ndugu Abubakar Assenga almaarufu kama mtoto wa fundi Cherehani kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Ifakara wilayani Kilombero.
Hii ni Ifakara


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM Mgombea ubunge wa jimbo la Dk. Hadji Mponda kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika Mtimbira .
 Wakazi wa Mtimbira wakionyesha kukubaliana na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika Mtimbira
 Hivi ndivyo Mtimbira ilivyofurika.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mahenge kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Mahenge.
 
 
 
Na Sufyan Omar

 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu