Ijumaa, 4 Septemba 2015

MAGUFULI KUIANGALIA MTWARA KWA JICHO LA TATU Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda na wananchi wake watapewa kipaumbele katika ajira.
 Wananchi wa Mtwara wakimsikiliza  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara mjini Ndugu Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mashujaa.
  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa.
  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Mtwara Mhe.Husnein Murji mbele ya umati wa wakazi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika uwanja wa Mashujaa.
 Kila mtu na staili yake.
 Mhe.Husnein Murji akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Mashujaa
 Umati wa wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa kampeni za CCM.

 Mgombea wa ubunge kupitia CCM  jimbo la Mtwara mjini Mhe.Husnein Murji akiwasalimu wananchi wa Mtwara mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM
 Msanii Msami akionyesha uwezo wake kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ,Mtwara mjini.
Ali Kiba akishambulia jukwaa kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Mtwara mjini.
 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu