Ijumaa, 4 Septemba 2015

MAMA SAMIA ACHANJA MBUNGA CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Shamrashamra za ngoma zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Shamrashamra za mapokezi zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mmoja wa wajumbewa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Ummy Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Kina Mama wa Kigogo wakiwa wamejipamba sura zao kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi meza kuupamoja na baadhi ya viongozi baada ya kuwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Shamrashamra za ngoma zikiendelea baada ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipew zawadi ya mbuzi alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 
 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowahutubia kwenye mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Vijana wakiwa wamelazimika kupanda mti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kwenda Kingwingwili Kongwa wasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa  Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
 Vijana wakiwa wamelazimika kupanda miti ili kumuona vizuri, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika  Kingwingiwili, jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma.
 Mbunge wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai akimwaga sera, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika katika eneo la  Kigwingwili.
 Mwanachama wa Chadema akiwa katika sare ya Chama hicho kwenye mkutano wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, uliofanyika katika eneo la  Kigwingwili.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la  Kigwingwili.
  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazae jimbo la Mpwpwa mkoani Dodoma.
 Mjumbe wa NEC, Evodi Mmanda akihutubia mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika eneo la  Mazae jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma.
Mmoja wa wajumbe wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Angela Kairuki, akihutubia mkutano wa kampeni za mgombea huyo, Mama Samia, eneo la Mazae katika jimbo hilo leo.
 Aliyekuwa mgombea kutafuta ridhaa ya kuwania Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Nkenge Asupta Mshama, akitoa vidonge vyake wakati wa mkutano huo
 Wananchi wakishangilia Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alioohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mazae, jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma.
 Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama saba wa Chadema waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwapokea baadhi ya wananchama hao saba wa Chadema waliomkabidhi kadi zao baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma.
 
Na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu