Jumapili, 6 Septemba 2015

MAMA SAMIA AMALIZA ZIARA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA KUFUNIKA JIMBO LA UKUNGA


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Majohe kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar esSalaam.
 Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Ukonga, Dar es Salaam
 Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia,uliofanyika katika jimbo hilo.
 Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Mgombea Ubuge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa alipowahutubia mkutano wa kampeni katika jimbo hilo.
 Wema Sepetu (kushoto) akiwa na wasanii wenzake ambao wamo katika kampeni ya MAMA ONGEA YA MWANAO AMPE KURA DK. MAGUFULI, kumsaidia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, kusaka kura za Mgobea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Ukonga.
 Mmoja wa wasanii hao wa Bongo Movie, akimsalimia kwaraha, Mama Samia wakati wa mkutano huo wa kampeni jimbo la Uknga.
 Wema Sepetu akimsalimia Mama Samia wakati wa mkutano huo
 Wema Sepetu akisalimia maelfu ya wananchi kwenye mutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika jimbo la Ubungo.
 Wasanii waiopo katika mpango wa Mama Ongea na Mwanao ampe kura Dk. Magufuli, wakiwasilimia wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jimbo la Ukonga.
 Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa akijadili jambo na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimboni humo, Dar es Salaam.
 Wananchi wakishangilia wakati mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan, wakati akiondoka baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Ukonga Dar es Salaam.
 Wananchi wakiondoka mmoja baada ya mwingine baada ya mkutano wa kampeni kumalizika katika jimbola Ukonga, Dar es Salaam
 Saidi Mabera akilicharaza gita la solo, Bendi ya Msondo ilipotumbuiza leo wakati wa mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika , Amana, Ilala katika jimbo la Ilala jijijini Dar es Salaam.
 Bamango ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, yakiwa yametawala wakati wa mkutano wa kamapeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo katika jimbola Ilala jijini Dar es Salaam.
 Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia alipowasili katika viwanja vya Amana, jimbo laIlala dar es Salaam, kuhutubia mkutanowa kampeni uliofanyika.
 Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, abilah Mihewa akiwatayarisha wananchi kabla ya mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia kuhutubia mkutano wakampeni katikajimbo la Ilala.
 Mwenyekiti wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, mwenye ulemavu Abubakari Rakeshi akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Ilala, Dar es Salaam.
Katibu Mwenez wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba Gadaffi,  akimkaribisha kuzungumza na wananchi aliyekuwa Katibu Mwenezi wa mkoa huo, Hajji Manara, katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika jimbo la Ilala Dar es Salaam.
 Haji Manara akihutubia wananchi katika mkutao huo
 Haji Manara akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jimbo la Ilala, Dar es Salaam. Katikati ni Mbunge wa Ilala Azan Zungu
 Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Azani Zungu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo.
 Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia suluhu Hassan akihutubia wanachi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Ilala.
Wananmuziki wakitumbuiza katika mkuano wa kampeni uliofanyika jimbo la Segerea dar es Salaam.
 Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia aukiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Segerea Dar es Salaam.
 Shamrashamra zikiwa zimeshamiri kumlaki Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM mama samia alipowasili kwenye mkutano wa kampeni jimbo la Segerea.
Mgombea Ubunge jimbo la Segerea Bonna Kaluwa, akiomba kura baada ya kutambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jibohilo.
 
Na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu