Unordered List


SAFARI YA MAGUFULI KUELEKA MTWARA AKITOKEA RUVUMA YAWA YA AINA YAKE AHUTUBIA MIKUTANO 16


  • Awaambia wananchi ,tumetoka mbali, tupo mbali na tunaelekea mbali
  • Bei za Vifaa vya ujenzi kama Cement na Mabati kupungua
  • Kuboresha zao la korosho na kuipandisha thamani
  • Awaambia wananchi hao yeye si Mwanasiasa bali ni mtendaji
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Michiga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia wakati akiwa njiani kuelekea Masasi.
 Wananchi wa kijiji cha Nakapanya wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa safarini kutokea mkoa wa Ruvuma akielekea Masasi mkoani Mtwara.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tunduru kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jmbo kwenye mkutano wa kampeni Tunduru.
 Wananchi wa Tunduru wakifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Umati wa wakazi wa Tunduru ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 wakazi wa Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.
 Wakazi wa Matemanga wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Wakazi wa Kiuma wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi mkoani Mtwara.
 Wakazi wa kata ya Mchomolo wakihamasika na hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa kata ya Mchomolo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Dk. Emmanuel Nchimbi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Namtumbo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha wagombea udiwani wa Jimbo la Namtumbo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Ndugu Yusufu Liambe ambaye anagombea udiwani kata ya Lwinga.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM Mgombea Ubunge wa jimbo la Namtumbo Ndugu Edwin Amandus Ngonyani.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Namtumbo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.


Chapisha Maoni

0 Maoni