Unordered List


KINANA AMNADI MAGUFULI KAGERA

  
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa jimbo la Muleba ya Kusini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM imemleta Dk. John Pombe Magufuli kwa sababu ni kiongozi imara asiyetetereka na amekuwa mstari wa mbele kuona Taifa hili likiendelea..

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Muleba kusini 

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kaskazini Ndugu Charles Mwijage pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kusini Profesa Anna Tibaijuka.
 Helkopta iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikipasua anga la mji wa Bukoba.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani.

Chapisha Maoni

0 Maoni