Unordered List


COMRADE ABUBAKAR ASENGA AFANYA ZIARA MKOA WA DAR





Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga Amefanya ziara Mkoa wa Dar Es Salaam Leo tarehe 12/03/2016. Ameweza kuzunguka Wilaya zote tatu, Ilala, Temeke, na Kinondoni.

Katika Ziara hii Ndugu Abubakar D. Asenga amewasihi sana Vijana kupiga Kazi ili Umoja wa Vijana CCM iendane na kasi ya Serikali ya awamu ya tano.

Na Sufyan Omar

Chapisha Maoni

0 Maoni