Unordered List

COMRADE ABUBAKAR ASENGA AZUNGUMZA NA VIJANA WA KINONDONI

Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. akizungumza na Vijana wa CCM katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.
Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. akizungumza na Vijana wa CCM katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.

Vijana wa UVCCM Kinondoni wakimpokea kwa shangwe na vigelegele Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.

Kijana Mwanachama wa UVCCM Kinondoni akimuuliza swali Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.

Vijana wa UVCCM Kinondoni wakimsikiza kwa makini Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.

Vijana wa UVCCM Kinondoni wakimsikiza kwa makini Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.
Na Sufyan Omar.

Chapisha Maoni

0 Maoni