Alhamisi, 17 Machi 2016

COMRADE ABUBAKAR ASENGA; NITAONGOZA MGOMO WA VIJANA HAMASA WA CCM NCHI NZIMA

Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga. akizungumza na Vijana wa CCM.
Vijana wa CCM tunataka maelezo ya kina juu ya waliotusaliti wakati mgumu wa kampeni kwa kuama chama?  eti  sasa wanarudi, ILI iweje?

Chama hiki si cha mtu, eeh kama katiba na kanuni tubadili tu, jambo la kupokelewa watu hawa liamuliwe na vikao vikubwa si Kata ama Wilaya tu, watu wakipewa Milioni.

KWANINI MNASAHAU MACHOZI YA WAPAMBANAJI HASA VIJANA MAPEMA HIVI?
AMA KWAKUWA SISI TUMESHAPATA VYEO?

MTAKUJA KUTUONA WATUKUTU NA JEURI SASA HIVI.

Eti Mteketa karudi!
Nasikia yupo Waziri Mkuu Mstaafu anatakakurudi!
Nasikia Mzee Ngombale anataka kurudi!
Nasikia Mzee Msindai,Mgeja na Guninita wanarudi!

NITAONGOZA MGOMO WA VIJANA HAMASA WA CCM NCHI NZIMA endapo wasaliti wanarudi bila vijana kupewa maelezo ya kina na kushirikishwa, Haikubaliki.

Ehh Maana watu watasaliti tu wakijuwa wakirudi kwa kutoa Milioni moja watapokelewa.

TUACHE BESENGA
HAMKAWII KUSEMA SISI WATUKUTU NA JEURI. Maana eh hakuna namna.

KAZI TU
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu