Unordered List


MH. NJALU SILANGA AZINDUA MRADI WA MAJI JIMBONI KWAKE

Mbunge wa jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki), na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu Ndugu Njalu Silanga (CCM) akizungumza na Wakina Mama waliojitokeza kuzindua Mradi wa Maji.

Mbunge wa jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki), na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu Ndugu Njalu Silanga (CCM) akiongoza Msafara wa kwenda kuzindua Mradi wa Maji Jimboni kwake.

Mbunge wa jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki), na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu Ndugu Njalu Silanga (CCM) akimtwisha Maji mmoja wa wakina Mama waliojitokeza katika uzinduzi wa Maji.

Mbunge wa jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki), na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu Ndugu Njalu Silanga (CCM) akipump maji kuashiria uzinduzi wa Kisima cha Maji Jimboni kwake.

Mbunge wa jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki), na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu Ndugu Njalu Silanga (CCM), akikagua ujenzi wa Madarasa Jimboni Kwake.

Chapisha Maoni

0 Maoni