Unordered List

MWENYEKITI WA UVCCM KILIMANJARO, AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wilaya ya Same wakati akikagua mradi wa Duka la Jumuiya ya vijana wilaya ya Same.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akikagua mradi wa Duka wa Jumuiya ya vijana wilaya ya Same.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akikagua mradi wa Duka wa Jumuiya ya vijana wilaya ya Same.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wilaya ya Same wakati akikagua mradi wa Duka la Jumuiya ya vijana wilaya ya Same.

Chapisha Maoni

0 Maoni