Unordered List

MWENYEKITI WA UVCCM KILIMANJARO, AFANYA ZIARA WILAYA YA MWANGA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akiwa katika Mkutano wa hadhara Wilaya ya Mwanga Kata ya Mwanga mjini, Leo tarehe 18/03/2016 katika ziara ya kuimarisha jumuiya ya vijana Mkoa wa Kilimanjaro.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akiwa katika Studio za Radio KIMS ambapo ameizindua rasmi, Leo tarehe 18/03/2016 katika ziara ya kuimarisha Jumuiya ya Vijana Mkoa wa Kilimanjaro.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa  Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akipokewa na kikundi cha akina Mama wa Wilaya ya Mwanga, Leo tarehe 18/03/2016 katika ziara ya kuimarisha Jumuiya ya Vijana Mkoa wa Kilimanjaro.

Chapisha Maoni

0 Maoni