Unordered List

MWENYEKITI WA UVCCM KILIMANJARO ANATARAJIA KUANZA ZIARA MKOA MZIMA

Mwenyekiti wa Umoja Wa Vijana CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akizungumza na Makada wa CCM(Hawapo Pichani).

Mwenyekiti wa Umoja Wa Vijana CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Juma Raibu akizungumza na Makada wa CCM(Hawapo Pichani).

 Mwenyekiti wa Umoja Wa Vijana CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Ndugu Juma, amedhamiria kuimarisha Jumuiya ya Vijana Kiuchumi na Kisiasa. Anatarajia kuanza ziara za kikazi na kukutana na kamati za Utekelezaji Za Uvccm katika Wilaya zote za Mkoa wa Kilimanjaro. Ziara hio inatarajiwa kuanza tarehe 15/03/2016.

Chapisha Maoni

0 Maoni