Jumapili, 13 Machi 2016

NAPE ATOA USHAURI KWA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA WA KUTOWATAKA KUUZA ARDHI HOVYO

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mandwanga kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwasalimu Wazee wa kata ya Nahukahuka kabla ya kuzungumza nao masuala mbali mbali ya kimaendeleo ambapo aliwashauri wananchi wa kijiji hicho pamoja na jimbo lake kutokubali kuuza ardhi hovyo kwani ardhi ndio urithi wao pekee unaoweza kuwainua kiuchumi.
Mzee Chitende mbunge wa zamani wa Jimbo la Mtama ambaye sasa ni Mshauri wa Mhe. Nape Nnauye akihutubia umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Mbunge na Wananchi.
Wananchi wa kijiji cha Nahukahuka wakimsikiliza Mbunge wao Mhe. Nape Nnauye akiwasomea vijiji vitakavyopata umeme wa Mradi wa kusambaza umeme vijijini awamu ya tatu.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Nahukahuka kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia mashimo ya choo vya shule yanayojengwa kwa nguvu ya wananchi wa shule ya Msingi Nahukahuka.
Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Mtama amabaye sasa ni mshauri wa Mbunge Mhe. Nape Nnauye akitoa salaam za uatangulizi kwenye mkutano wa kuwashukuru watu wa kata ya Nyangamala. 
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Nyangamala kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Pangatena kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
Na Sufyan Omar
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu