Unordered List


UVCCM WAPINGA KUMPOKEA MWAPACHU


Eeeeh hauwezi kaa kwenye chama hiki miaka 30 utoke alafu urudi upewe kadi zako zilezile kama umekaa miaka 31
Tunashukuru kusikilizwa na sasa aombe afikiriwe akikidh apewe kadi mpya.
Hakuna namna ukitoka ujue hautakubaliwa kurudi kirahisi
Tunataka wanachama waeneo husika waamue juu ya wasaliti.sio viongozi wachache kwa kuchekelea milioni
We have nothing to loose kuitetea CCM, age is on our side.
Unakuwa kiongozi unahama wakati mgumu..unatusi viongozi na chama, alafu urudi tu kama unaenda toilet
HAPANA
#HAIKUBALI

TUTALIFATILIA

Credit kwa Kaimu Katibu Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM TAIFA, Ndugu Abubakar D. Asenga.

Chapisha Maoni

0 Maoni