Unordered List


YALIYOJIRI KWENYE HEKAHEKA ZA UCHAGUZI WA MAREJEO ZANZIBAR


Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa  kisiwani Zanzibar baada ya watu kujitokeza kuchagua viongozi wao. https://youtu.be/yXTsjsqR0-s
 Zoezi la upigaji kura kisiwani Pemba laelezwa kuendelea vizuri katika maeneo mbalimbali huku baadhi ya vituo vikiwa na watu wengi na vingine wachache.https://youtu.be/TSlXL6UOFkI
 Hivi ndivyo Watu walivyojitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wao ili kuweza kuunda serikali wanayotaka. https://youtu.be/ZlhDytKEBAg

Chapisha Maoni

0 Maoni