Unordered List


KAIMU KATIBU MKUU UVCCM NDUGU SHAKA HAMDU AWASILI MKOA WA SINGIDA


Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka, akisalimiana na Viongozi wa UVCCM Mkoa wa Singida.







 Mapema ya leo Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)amewasili katika Mkoa Singida rasmi kuanza ziara ya siku 5 katika wilaya zote ndani ya Mkoa huo.
Lengo la ziara hiyo ni kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015 -2020, kukagua uhai wa Chama na jumuiya zake sambamba na kuwashukuru wananchi kwa kuichagua CCM katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Katibu Mkuu amepokelewa katika wilaya ya Iramba asubuhi hii tayari kwa kuanza mzunguko wa kujenga na kuimarisha chama mkoani Singida. viva vijana.




Chapisha Maoni

0 Maoni