Ijumaa, 20 Mei 2016

NDUGU SHAKA HAMDU SHAKA AKABIDHIWA OFISI RASMI LEO

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akipokea Taarifa za Ofisi toka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Mbiga Mjini, Mhe. Sixtus Mapunda.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu, aliyekuwa Katibu Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Mbiga Mjini, Mhe. Sixtus Mapunda na Mkuu wa Idara ya Utawala UVCCM Makao Makuu Ndugu Omary Mwanangwalu.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiongozaa Kikao Makao ya Uvccm.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Leo tarehe 20 May 2016 saa saba kamili mchana. aliekuwa Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe. Sixtus Mapunda ambae kwa sasa Ni Mbunge wa Mbinga Mjini amekabidhi rasmi ofisi kwa Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka ambae alikiwa Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar.

Kutokana na kubanwa na Majukumu ya Ubunge na kuongeza ufanisi wa ofisi ya Vijana Mhe. Sixtus Mapunda amekabidhi ofisi  rasmi Ili kutoa nafasi zaidi kwa Kaimu Katibu Mkuu Ndugu Shaka Hamdu Shaka Kusimamia Ofisi vizuri zaidi.

Umoja wa vijana CCM unatoa Pongezi na shukurani kwa Mhe. Sixtus Mapunda Kwa utumishi wake wote ndani ya UVCCM na tunamtakia kila la kheri Katika utumishi wake mpya kama Mbunge wa jimbo LA Mbiga Mjini.
Aliitumikia CCM na UVCCM kwa dhati na muda mrefu hadi sasa amekuwa Mbunge wa CCM ni imani yetu kuwa ataendelea kuwa karibu wakati wote kwa Maslahi ya CCM

Tunawaomba  Vijana wa CCM na Watanzania wote nchi nzima kumpa ushirikiano wa kutosha Kaimu katibu Mkuu Ndugu Shaka Hamdu ili kuiendeleza jumuiya yetu Mbele zaidi kwa Maslahi ya Chama na Nchi yetu.

Imetolewa na :
ABUBAKAR D. ASENGA
KAIMU MKUU WA IDARA Hamasa, Sera,utafiti na mawasiliano 
UVCCM MAKAO MAKUU

NB:
UVCCM inaendelea kuuomba umma kuendelea kupuuza taarifa zote za uzushi zinazosambazwa kuhusu UVCCM na baadhi ya vijana wa vyama pinzani wakitafuta Pakutokea baada ya kubanwa na kasi ya Rais Magufuli
HATUTARUDI NYUMA KWENYE KUTUMBUA MAJIPU
KILA ANAEKUMBATIA JIPU ATAKUWA  NA Harufu ya Usaha.

HAPA KAZI TU
SIMU 0627968722
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu