Ijumaa, 3 Juni 2016

SHAKA HAMDU SHAKA; HAPA KAZI TUU

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akinyanyua Mshale kwa kuashiria Ushujaa.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akipiga kazi.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akipiga kazi.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akipiga kazi.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wananchi.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwasalimia Watoto.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akifungua Bomba la Maji kuashiria Uzinduzi.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizindua Jengo.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Watendaji was Chama.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wananchi.

Tarehe 2 Juni 2016 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka (MNEC) amendelea na ziara ya kuimarisha uhai wa chama na jumuiya zake na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015/ 2020 sambamba na kuwashukuru wananchi kwa kuichagua CCM uchaguzi wa 2015  katika wilaya ya Singida Mjini, Mkoa wa Singida.

-Katibu Mkuu alipokelewa katika ofisi za CCM Singida mjini mapema asubuhi ya leo na kufanya mambo yafuatayo:

- Kuzungumza na viongozi wa CCM na jumuiya zake ngazi ya Mkoa na Wilaya ikiwa ni hatua ya kuimarisha mahusiano ya chama na jumuiya zake.
- Alipa nafasi ya   kuzungumza na makundi  ya viongozi wa UVCCM na shirikisho la vyuo vikuu Mkoa Wa Singida
- Kuzindua mashina ya vijana wajasiriamali  na kukabidhi kadi zaidi ya 300 katika nyakati tofauti.
- Kuzindua rasmi matumizi  ya vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Minga ambapo alichangia 1 million kukamilisha deni la Ujenzi wa vyoo hivyo na kupata  fursa ya kusalimiana na  wanafunzi wa shule hiyo.
- Alishiriki ujenzi wa Taifa wa mtaro mita 100 katika kijiji cha Minga
- Alipata fursa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kata ya Mitunduruni na kukabidhi kadi kwa wanachama wapya.
- Pia Katibu Mkuu alipata fursa ya Kuzungumza na madiwani wote wa wilaya ya singida mjini katika ukumbi wa Country Inn.

Katibu Mkuu ataendelea na ziara kesho katika Wilaya ya Ikungi.

Vivaa vijana vivaa.

Imeandaliwa Na Sufyan Omar.

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu