Jumanne, 14 Juni 2016

UVCCM; GWAJIMA NI JIPU

Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano UVCCM, Ndugu Abubakar D. Asenga akichambua Mpunga.

Gwajima....tutakujibu kaka
Kwa wakati wako
Kukusaidia tu awali
Moja;
ya CCM hayakuhusu...endelea na ya Lowasa na Chadema

Kujikomba kwa Rais  Magufuli hakutakufanya usiwe jipu ama kumsahaulisha asikutumbue

Yesu alitembea kwa miguu na kuishi maisha sawa na kondoo wa bwana
Wewe unamfata yesu yupi alieishi na wake za watu kiasi cha kuvunja ndoa zao? Magari ya kifahari kondoo wako hawana hata ndala?

Hivi unakumbuka utabiri wako wa mwaka jana tu kuwa Lowasa atakuwa na hakuwa.Mungu hakosei.ila Shetani unaemtumikia kaka

CCM ni chama chenye utaratibu wake tu.Mkt mpya ata kabidhiwa chama kwa wakati wake kama tulivyopanga na kukubaliana.acha fitina na uchonganishi

Nenda shule karudie kusoma
Ata kama sheria ikibadilishwa leo haiwezi kumuhukum Rais Mzee mkapa kwa yale ya nyuma yalioikuta sheria Mbele seuze Jakaya wa watu unaemchukia bila sababu bali kwa kuokota maneno chooni
Mbona kanisa lako nalo linatuhumiwa kwa kula sadaka na ufisadi?
Seuze unaweza kuongoza nchi bila mapungufu miaka 10?

Acha kiherehere
Kisa serikali imeanza kufatilia mali zako ili ulipe kodi

Sheria gani ya taasisi yako inakuruhusu kuingilia siasa kiasi hiki na kupiga umbea kwa chuki ya CCM kuifanyia kampeni Chadema na Lowassa?

Haumjui Magufuli wewe...unajua moto unaokujia kwa ufisadi wako kwa manufaa ya shetani kwa Mgongo wa Mungu.unazani jeuri uliomfanyia Magufuli mwaka jana itaondolewa na panic yako ya uchonganishi??

INAKUUMA SANA RAIS MAGUFULI KUTEMBELEA KANISA DOGO LA MCHUNGAJI MAKINI WA MZEE WA UPAKO KUACHA LAKO?

UNAZANI KUJIKOMBA HUKU KUTAMFANYA AJE?

Acha kaka
Tukikaa kimya sio tunakuogopa
Tunakupuuza
UVCCM inakwambia wazi kama unabisha
Endelea kuitaja taja CCM kwenye nyumba za ibada kwa Maslahi ta chadema
Endelea
Na hii sio kukutishia
OLE WAKO TUNAKWAMBIA
OLE WAKO

WEWE NANI NCHI HII?
NANI WEWE?

KAKAE NA KAKOBE AKUFUNZE mana unapita njia aliopita yeye.

Nakutafta
Tufanye mdahalo nawe mtumishi wa shetani unaemwamini Yesu ukitembea na bastola 10 walinzi mia.
Simu yangu
0627968722

Ukiheshimiwa jiheshimu
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu