Unordered List


BONANZA LA UVCCM BARIADI LAFANA KWA HALI YA JUU

.
Mgeni rasmi watatu Mbunge wa Bariadi Mh Andrew Chenge (MNEC)akifatiwa na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Bariadi Joel Makwaiya wa pili kulia wakitazama Mashindano.
Mgeni rasmi  Mbunge wa Bariadi Mh Andrew Chenge (MNEC)akifatiwa na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Bariadi Joel Makwaiya wakisalimiana na Washiriki wa Mpira wa Miguu.
 Washiriki wa Mbio za Mita 1500 wakiwa katika Kinyang'anyiro
Washiriki wa Mashindano ya Baiskeli walivyo Shindana.
 Washiriki wa Kike Mbio za Mita 1500 wakiwa katika Kinyang'anyiro

Chapisha Maoni

0 Maoni