Siku kama ya leo Mwaka 1950,katika kijiji cha Msoga Wilayani Bagamoyo alizaliwa kiongozi Shujaa,Muadilifu,Mchapakazi na Mwanadiplomasia nguli.Baba wa familia ya watoto wanane,Mtetezi wa watu na Mlezi wa Taifa.
Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Tunamtakia Heri ya siku ya kuzaliwa
Mheshimiwa Dkt, Jakaya Mrisho KIKWETE
Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti mstaafu wa
Chama cha Mapinduzi.
Hongera sana kwa kutimiza miaka 66.
Mwenye-ezi Mungu akujaalie maisha mrefu zaidi,Afya na mwisho mwema.
0 Maoni