Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kushoto) akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la
Maendeleo (UNDP) Lawrence Lachmansingh (wapili kushoto) na Nirina
Kiplagat, walipofika kwa ajili ya kujadiliana juu ya masuala ya amani na
maendeleo.Kulia ni Katibu wa naibu waziri, George Mwansasu.Kikao hicho
kimefanyika leo, Dar es Salaam.
Meneja
Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), Nirina
Kiplagat akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), wakati wa majadiliano juu ya
masuala ya amani na maendeleo.Katikati ni Mshauri wa Mradi kutoka UNDP,
Lawrence Lachmansingh. Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es Salaam.(Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kushoto), akiagana na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la
Maendeleo (UNDP), Nirina Kiplagat (aliyeshikana naye mkono) na )
Lawrence Lachmansingh, baada ya kumaliza majadiliano juu ya masuala ya
amani na maendeleo. Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akiwasindikiza wageni kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), Nirina Kiplagat na Lawrence Lachmansingh(kushoto), baada ya kumaliza majadiliano juu ya masuala ya amani na maendeleo. Kikao hicho kimefanyika leo, Dar es Salaam..

0 Maoni