Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Mtukufu Mfalme wa
Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco
Mohamed VI alipowasili kwa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco
Mohamed VI na meza kuu wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa kwenye
dhifa ya Taifa Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na wageni wakati wa nyimbo za Taifa
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na wageni
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume na wageni
Mawaziri na wageni
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara na Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa
Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa
Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi kwa mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa
dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.
Amani Abeid karume kwa mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed
VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha viongozi wa dini kwa mgeni
wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwatambulisha mawaziri kwa mgeni wake
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulishaWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kwa mgeni wake Mtukufu Mfalme wa
Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Waziri wa Kilimo Maliasili
Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed kwa mgeni wake
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco
Mohamed VI na viongozi wengine wakiangalia ngoma za utamaduni mara baada
ya dhifa ya kitaifa ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mohamed VI na viongozi wengine wakiangalia kundi la Usambara Mountain
Brass Band mara baada ya dhifa ya kitaifa ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed
VI na mkewe Mama Janeth Magufuli kabla ya mgeni kuondoka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
baada ya mgeni kuondoka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
baada ya mgeni kuondoka.
0 Maoni